Kampeni ya Hebu Tuzungumze! yanajumuisha kifurushi cha vifaa vya mawasiliano ambavyo vinaangazia simulizi za Mabingwa na hutumika kama vichochezi vya mazungumzo ili kuzungumza juu ya masuala yanayohusiana na ujauzito wa mapema na usiotarajiwa.

Nyenzo zilizo hapo chini zimetengenezwa ili kuhamasisha njia mbalimbali za mawasiliano na kutumiwa katika mazingira anuwai ya kuunda kampeni ya media anuwai ambayo inatoa fursa kwa watekelezaji na watetezi katika kanda zima la ESA kuweza kupanga. Unaweza kupakua Mwongozo wa Mtumiaji wa Kampeni ya Hebu Tuzungumze! chini ya ukurasa huu. Mwongozo ujumuisha shughuli zilizobinafsishwa za uimarishaji ili kushirikisha jamii kupitia nyenzo za kampeni na kushughulikia ujumbe kwa njia zenye maana zaidi.

Swa

Episode 1 SWA

. . .

Episode 2 SWA

. . .

Episode 3 SWA

. . .

Episode 4 SWA

. . .

Episode 5 SWA

. . .

Episode 6 SWA

. . .

Episode 7 SWA

. . .

Episode 8 SWA

. . .

Episode 9 SWA

. . .

Episode 10 SWA

. . .

Episode 11 SWA

. . .

Episode 12 SWA

. . .

Episode 13 SWA

. . .

All Episodes SWA

. . .

Video

Shellsy Video SWA

. . .

Mbulelo Video SWA

. . .

Caroline Video SWA

. . .

Ilda Video SWA

. . .

Peris Video SWA

. . .

Phumzile Video SWA

. . .

Bafana Video SWA

. . .

Sheila Video SWA

. . .

Rudo Video SWA

. . .

Sauti

Mabango yetu ya Mabingwa

Caroline Poster SWA

. . .

Mabango ya Kampeni ya Jumla

General Messages SWA

. . .

Mwongozo wa Watekelezaji

A User Guide For Implementers SWA

. . .

Rasilimali za Mitandao ya Kijamii

Hatua 5 za kukuza Kampeni ya Hebu Tuzungumze! katika mitandao ya kijamii.

  1. Pakua kifurushi cha mitandao ya kijamii ya Kampeni ya Hebu Tuzungumze! kutoka kwa folda ya rasilimali.
  2. Chapisha ujumbe kwenye jukwaa lako ulilochagua - kwa mfano, tumia picha na ujumbe pamoja kutoka kwa mmoja wa mabingwa.
  3. Weka lebo za @LetsTalkEUP @UNESCO @SAfAIDS @UNFPA @save_ watoto @EUsaveTC @yptcampaign kwenye mitandao ya kijamii na utumie alama ishara ya kampeni #LetsTalkEUP
  4. Uliza hadhira yako kufuata/kupenda mazungumzo ya Kampeni ya Hebu Tuzungumze! kwenye mitandao ya kijamii.
  5. Waambie hadhira yako wasome zaidi juu ya simulizi ya kila bingwa au wagundue zaidi kuhusu kampeni kupitia tovuti ya Hebu Tuzungumze!

Vifaa vya Kujulikana kwa Kampeni

Campaign Launch Materials SWA

. . .

Miongozo ya Mhamasishaji

Mobilisation Guide – Teachers and Educators SWA

. . .

Mobilisation Guide – Religious and Civic Leaders SWA

. . .

Mobilisation Guide – Health Workers SWA

. . .

Mobilisation Guide – Peer Groups and Youth SWA

. . .

Mobilisation Guide – Parents and Families SWA

. . .

Shiriki Kampeni

Kwa habari zaidi juu ya kampeni na anwani hii ya wahusika:
letstalkeup@gmail.com