Episode 1 SWA
. . .
Nyenzo zilizo hapo chini zimetengenezwa ili kuhamasisha njia mbalimbali za mawasiliano na kutumiwa katika mazingira anuwai ya kuunda kampeni ya media anuwai ambayo inatoa fursa kwa watekelezaji na watetezi katika kanda zima la ESA kuweza kupanga. Unaweza kupakua Mwongozo wa Mtumiaji wa Kampeni ya Hebu Tuzungumze! chini ya ukurasa huu. Mwongozo ujumuisha shughuli zilizobinafsishwa za uimarishaji ili kushirikisha jamii kupitia nyenzo za kampeni na kushughulikia ujumbe kwa njia zenye maana zaidi.
Hatua 5 za kukuza Kampeni ya Hebu Tuzungumze! katika mitandao ya kijamii.
Rasilimali za Mitandao ya Kijamii